Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote.
πͺππππππππ Β©2025 πΎπππππ π΄ππ
ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ
.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

27 Comments
Yanga pasi utaziona wakicheza na karaingangwe fcπ
Kwel manara upo sawa kabisa atupishe
Hapo hakuna wachambuzi
Huyu jamaa usemaji bado unamtesa, aendelee tu kutembelea masoko na madampo
Yaani OSCAR,hakuna ulicho ongea " umebwabwaja tu " huna ulichoongea — Oscar unaongelea game Moja,mwenzio ( Manara ) anamwambia,Yanga Haina Consistency " Pedro anaipeleka chini Yanga " usichoelewa Nini — unaongea utumbo tu.
Pressure unayo wewe
Oscar wew kolo unataka kutuponza kocha aende tu
Wewe manara huu mpira sio vinena sasa mpira yaani usifungwe? Huo sio mpira
Ongeeni upuuzi weee ila kocha wa yanga hana mbinu yeyote
Huy jamaa Sijui Nan huy mbona anaongea utumbo we manara anakufafanulia kabisa halaf bad unaongea utumbo tu
Tunaomba kocha aendelee kuwepo
Kwel refa hajiamin, umeongea kweli, hajui wachezaj wake,, wachezaj wanaweka bench,, wanaweka wagen, wakat daby hawaijui vizur, anawaacha wazawa.
Upo sahihi, Yanga hawana Kocha
YANGA IMEKUWA TIMU MBOVU NA TATIZO SAJILI ZAO ZA HIVI KARIBUNI ZIMEKUWA MBOVU
Leo pedro hana hadhi π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Awepo mpaka mkataba uishe, lakini asijuhusishe na upangaji, waachiwe aki na Morriny
Hadji tuongee ukweli kocha wa yanga ndiyo tatizo. Oscar usituongopee ule mchezo wa tar.29 simba alikuwa bora wapi hukuona hatari ya simba sub ndiyo zilizoharibu unamtoa DAMARO NA MUDARTHIR anabaki kiungo asili DUKE ABUYA na MAX kweli mbele ya viungo watano. Man of the match alipewa beki wa simba,na simba alianza kuwa bora dk. 75 kwenda mbele baada ya sub
Yao kwasi jana alikuwa bora anapanda na kuvunja mistari ya mpinzani hukuona hilo
Upo sahihi depu hamna kitu aisee
Wewe si ulisema yanga ni bora? Kabla mechi? Nyuma mwiko mpaka wanunuliwe mechi ndio utawaona wazuri tofauti na hivyo hawana ubora
Na hata hizo za namungo,pamba dodoma jiji kmc lazma nyuma mwiko itolewe baha…
Haji wewe ni msemakweli kabisa Kocha pale Yanga hakuna,kungekuwepo na Kocha pale asingemtoa Yao aliyekuwa ameushika vile mchezo na pia asingemtoa Okello ambaye ndo alikuwa anajenga mashambulizi pale mbele wakati ameshamuingiza Bwana Shamba pale mbele Depu,nani angempekea mpira yule anaetembea tu uwanjani.usajili wa kwanza kuachwa uwe wa Depu
Huyu ni snitch
ATOKE SIMBA WAKUMPAKIA BAS WAKATI SIMBA TULIKUWA TUNA MPELEKEA MOTOπ₯ π₯π₯
Duuu haya maisha tanabalaaa kubwa sana ukikubalika leo jiandae kesho utakataliwa pia π
Swali langu mm ni kwangu huyo Manara anaongea hapo kama msemaji,mdau au muwakilishi wa Yanga?? Mi nilidhani ukiwa mwandishi wa habari hupaswi kuwa upande Fulani…inapaswa kubalance mazungumzo..
Wewe nimuongo wote mikundu