MAAJABU: MAMA AJIFUNGUA MTOTO ‘MZEE’, AZUA TAHARUKI KUBWA, DAKTARI AELEZEA..
YAMKINI umepata kusikia mama aliyejifungua jiwe mkoani Mara katika Nchi ya Tanzania au mama aliyejifungua kiumbe wa ajabu na kusababisha taharuki kubwa, lakini simulizi inayozungumzwa zaidi kwa sasa ni ya mama aliyejifungua mtoto aliyezeeka na kuonekana kama bibi kizee wa miaka 70 na kuendelea, IJUMAA WIKIENDA linaripoti.
Katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 20, amejifungua mtoto wa kike mwenye sura iliyozeeka au inayofanana na mtu mwenye umri uliofikia uzee huku akiwa katika hali kama vichanga wengine.
TAHARUKI
Mama huyo kutoka eneo la Libode ambako ni Mashariki mwa Jiji la Cape Town nchini Afrika Kusini, alijifungua mtoto huyo akiwa nyumbani hivi karibuni na kusababisha taharuki kubwa kwa watu wa jamii yake.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

30 Comments
Atabadilika baadae daaa mungu akupe uvumilivu maana walimwengu hatuna dogo
matokeo ya covid- vaccine.
Maajabu ya Mungu haya
Mngu mkubwa anafanya anacho taka.. Subbnaalllah
MUNGU asimame kati kwa huyu mtoto
Mungu atampa kitu kingine mwilini kitakuwa kizuri balaa na kitamuu mnooo
Uyu Mtoto Akikuwa atakuwa Mzuri nawambia Hamtaamini
Ni nchi gani jamani
MUNGU nijarie mwisho mwema😢🙏
Mbona wa kawaida nimekipenda so cute many kisses to her from zanzibar
Mung atakusaidia dadaang ucjal nimipang ya mungu2
Subhaana Allah
Mungu akupe wepesi wa uvumilivu na unyunyekevu na upole sana .
Mmmmmmmmm!
Dunia ina mengi jmn uwezi jua historia yao uko nyuma….kikubwa mungu ampe uvumilivu tu
Haombe mungu
Duuu mungu tusaidie waja wako
Daah yote ya mungu
Salii mamaa muombe Munguh muumba
Sub hanallah 🤦♂️🤦♂️🤦♂️😢pole sn dada mwenyez mung atakubadilishia usjiskie vibaya najuwa imekumiza sn
Allah create whatever he wills Glory be to Allah who the to create 🙏
Kila kinachomfika mja mungu amekiandika. Ewe mola mpe nguvu mwanamke mwenzangu
kiu ya kisasi
Pole sana dada mshukuru mwenyezi mungu kwa chochote akupacho
Pole
Njaman
Usijali mama mungu atakubalik ndio atakae kusaidia badae kuwa na amani dadang
😢😢
Allahu akbaru
Pole sana dadangu