Mnaanza kubeza kwenye clip wengi wenu hamjui boli maana hata clip za max wengi wenu mlibeza vle vle kwamba hana uwezo wa kucheza yanga,juz mmeona wenyewe pumbavu zenu😮
huyu jamaa ni Yipe aliyechangamka, yani haifai kabisa Yanga, baadhi ya wachambuzi wa bongo hovyo kabisa wanamkandia Sudi Abdallah wanampigia chepuo huyu jamaa ili Yanga wasajili galasa. Sudi wameona ataipa mafanikio Yanga, ana kasi kama Mayele, analijua goli na anafanana kila kitu na Mayele, ni streaker hatari sana kuliko huyu jamaa.
24 Comments
Welcome Young Africans Mahop
Hamna ktu mzigo sna
Huyu ni yikpe pro
Yikpe kabisa, bora hata yule mrundi…Sudi Abdallah
Welcome to Young Africans SC!
For more videos please subscribe! 😊
Hamna kitu
Huyu mzito sana
Kama ndo huyu Yanga wamepotea kabisa.
Tunamtaka sudi abdala
Huyu ni mzito sana kwakwel
Huyu ndo mrith wa mayele 😂
Mziiiiito 😢😢 Kama Yikpe
Top score
Kila mwaka watasajiliwa wachezaji kweli alafu litaletwa garasa moja watu wapige hela
Oya huyu wasilete Mzto kinomaaaa
Huu mtihani huu
Mzito 😂😂😂😂
Mnaanza kubeza kwenye clip wengi wenu hamjui boli maana hata clip za max wengi wenu mlibeza vle vle kwamba hana uwezo wa kucheza yanga,juz mmeona wenyewe pumbavu zenu😮
Mwamba kwel kwel
Yan bola sudi
huyu jamaa ni Yipe aliyechangamka, yani haifai kabisa Yanga, baadhi ya wachambuzi wa bongo hovyo kabisa wanamkandia Sudi Abdallah wanampigia chepuo huyu jamaa ili Yanga wasajili galasa. Sudi wameona ataipa mafanikio Yanga, ana kasi kama Mayele, analijua goli na anafanana kila kitu na Mayele, ni streaker hatari sana kuliko huyu jamaa.
mnamwogopa atawacharaza kila mechi? Ila viongozi wa Yanga werevu sana na hawakurupuki kama mikia.
Hamna kitu ni kama Yipe2 hahahah 😂😂
namuona Sapong mtupu humu na Yikpe