Yanga SC imeshindwa kufurukuta nyumbani kwa kulazimishwa suluhu na Club Africain ya Tunisia katika mchezo wa kwanza wa mtoano kuwania kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Mechi imepigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, na marudiano ni wiki moja ijayo nchini Tunisia.

48 Comments
Hivi kinachomfanya nabi asichezeche double streaker ni kitu gani!?
Yanga inadhani haya mashindano ni kama ya NBC 😂😂😂
Nabi amelabisha timu, tangu alibadilisha timu ya Kwanza ilé, mbele ya Morrison, twisila,aziz ki wakuje yanga, ju wale wazaji ni wa ngumu kumukabula fiston passe, kama nabi anataka kurudisha yanga arudishe timu ilé ya Kwanza ashipo,( aziz ki, Morrison, na twisila) matokeo itakuya visuri kuzidi
Yanga hamna kitu utopolo tu
Yanga waliogopa rangi nyekundu 😂😂😂
Tunataka fei toto umuweke namba 10 ana uwezo wa kupiga mashuti na kumuwekea mayele assist
Kosa lipo kwa Nabi, kisinda anakitu gani hadi amweke? Tungeachana na kocha
Mimi mshabiki wa simba siku zote nawaombea dua mbaya yanga wazidi kuharibikiwa kama wao wanavyotuombea sisi SIWAONI WAKITOBOA TUNISIA SABA ZITAWAHUSU KAMA YALIVYO MKUTA KIPANGA NA YANGA YATAMKUTA .
Kufanya vby CAF ni kosa la kocha, Bado anaamin Morison na kisinda watampa matokeo ukwel n kwamba Morison anaharbu balance ya timu anacheza na video sana hakabi hapend kuelekezwa na wenzake mchezaj Kam huyo wa NN, kisinda sio yule wa kipindi kle lkn bd kocha anamkumbatia
Yanga inacheza yaani Ina msingi fulan imewekewa na Nabi ambao kocha yeyote atavutiwa na walipofikia japokuwa mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja yapo ktk kuzuia na kupasiana na kufunguka kwenye 13 ya mpinzani bado dhaifu Wana 45% tu kwa hili inahitaji mawinga wanaofanana na Luois Miquisone yaani mkabaji, mbunifu, anayeingia ,anayepiga na anayeficha mpira kwa kiasi Cha juu . Kwa gharama yoyote ile tutakuja shuhudia ushindi nyumbani na hata ugenini lakini si kwa Yanga hii inayopata goli moja mbili kwenye NBC ligi na matumizi mabaya ya nafasi za magoli. Pia suala la kocha si kweli aletewe au alete wachezaji 5
sahihi ndio tuanze kuongellea kocha
Wrry
Waharabu ni wajanja sana walikuwa wanatafuta sare tu …. Sasa kinye fc muende Kule mkapigwe mkono au wiki alafu mrudi hapa muendeleze na unbeaten zenu 😁😁😁😁
Alafu huwo kipa akidaka tu analala 🤣🤣🤣🤣
Yanga wanalitia aibu taifa hawana mipangooooooo
Mmejitahd lkn sana
Yaani ningekuwa refa? Hawa waarabu ningewalima kadi nyekundu, kwasababu moja tu..Kupoteza muda.Mtu kaanguka anadai kaumia anaambiwa atoke nnje akatibiwe anapona anapina bila kutibiwa.Yaani Ile kupona tu najua uneniadaa nami sihadaiki nakulima kadi nyekundu kiroho Safi kabisa.
mie sio yanga ila hawa waarabu ni wasanii sana wanajiangusha mwehhhh wakitegea muda uwende. yanga anakazi ya Ziada Tunisia hawa waarabu ni figisu figisu sana
Nafasi ya saido ntibazonkiza hayijapata mtu nabi aca unafiki
Tusilaum niugum tu wamech
TOWA NJAMBE WAMEKUMBUSHWA JITI LA MSUDANI WANA HASIRA HAO USIWAULIZE HAO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
LEO MARAFIKI ZANGU WA UTOPOLO TOWA NJAMBE NIKIWAPA SALAMU ZA ASUBUHI AWANANIAMBIA NIITIE MKUNDUNI KWANGU WANA HASIRA HAO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
AFU NABI WALE WATUNUSIA WENZAKE NA ANAJUA STAILU OF PLAY YA KWAO MI NAONA INGEKUA RAHISI KULISHA SUMU WACHEZAJI WAKE JINSI YA KUWAKABILI C AFRICAIN
Ila haya maarabu yamepoteza mda sana sijawah kuona mm mpaka coach anapewa kadi golikipa mmmh kwakweli sijawapenda hata kidogo
Timu imemshinda nani ukweli Ndio uo
Hii gem bhana golkipa wa African anadaka mpira analala chini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sas uwanja mbona upo empty 🤣🤣🤣
Hawa jamaq tutawaminyia kwao hawataamini mijicho yao😡😡😡
Anaitwa SALIM IDDY KIDEDEA🔥
🇦🇹🇦🇹🇦🇹🇦🇹
Naipenda yanga sana na aina ya mchezo wa club African ni upuuzi kabisa…mpira hauna ladha ya kuutazama
Makambo Ni mzigo
Hawa majamaa kule kwao watajuta kufany hiv huku taifa make tunaenda kuwalazimisha sare ya magoli hawataamini
Aya kama Bado tunaipenda naju IPO cku mungu atatuona hatujakata tamaa
Africain walinyimwa penati ya wazi kabisaa 😭😭😭
Utopolo wamebebwaaa waapi
Wamenyimwa clear penalty 😭😭😭 ila bado utopolo kafeli mechi
Utopolo mpira walicheza ila aliyekosekana na Kayoko tu 😂😂😂😂😂
Hawa raha yao kuwafunga Simba kwenye ligi yetu lkn timu za kimataifa hawaziwezi kabisa wasubiri kwenye ligi tu basi watang,aa Sana sio kimataifa,tunawaombea waende kupindua meza nyumbani kwa waarabu.
Hehe! Fi kulli makan!
Yanga inacheza vizur xana xema baat ndy hamna
ok
Ila Mayele ni Striker Mzur
Kidinda aende Ihefu🤣🤣🤣
Hivi kuna mijitu ya yanga inachonga sanaa hivi mlitaka yanga wachezeje??? Pumbavuuuu waheed kabisa hamieni simba basi
YANGA VIPI TEAM YANGU BILA JIE SI JUWE NI , GEKUWA HAPP
Kwa ntazamo wangu binafsi, Yanga ina zinguliwa na Fifa. By the way, Nkono mtupu aulambwi. Yanga baado ni timu bora, lakini awapendi kunyoosha mkono. (Assumane Machokuona Palma Cabo Delgado Moçambique )
Napendaga uyu mtangazaji akiongea kiarabu😋
Wemtangazaji unazingia umeshasema "fiikulli makan" Tena "popote pale mlipo" yanini? Nisawa na kusema "barabara ya morogoro" wakati huohuo "morogoro road"