Taarifa kamili kuhusu nyota wa PSG, Achraf Hakimi kutoa msaada wenye thamani ya shilingi bilioni kumi (10) kwenye Shule ya Patandi, iliyoko Tengeru, Arusha huku akisakata kabumbu na wanafunzi wa shule hiyo.

10 Comments

  1. Tafadhal naomba hizi taarfa mjitahid kutoa Maelekezo sahihi
    Mnavunja moyo au mnaeza potosha jamii
    Au inawezkana mka harbu hata swadaka anayotoa ,HIVI 10biln si hela ndogo jaman
    Alaaaaaa msitokeseee
    Mnatuchukuliaje lakini hivi???
    Hivi GSM/young africa ndyo kuchangia magodoro na vitanda kutangaza hvyo,Tuwe tunasaidia mambo yenye tija na kuleta msaada sahihi kwa wenye uhitaj (Mnatukosea sana watz)

Leave A Reply