Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya Saratani ya Mapafu tarehe 29 Februari 2024.

20 Comments

  1. Inna lillahi wainnaa ilayhi rajiuun,M/Mungu akusamehe madhambi Yako yote,na akufutie makosa Yako yote,na alifanye kaburi lako kuwa radhwat min riyadhwi ljannah🀲😭😭😭

  2. BURIAN MHESHINIWA ALLY HASSAN MWINYI RAIS MSTAAF WA AWAMU YA PILI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI,,BEANA AMETOA NA BEANA AMETWAA BASI JINA LAKE LIHIMIDIWE.😒😒😒

Leave A Reply