Kocha Mkuu , Adel Amrouche ametaja sababu ya kutokumuita kiungo mshambuliaji, Kelvin John anayecheza katika klabu ya Genk kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya Fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zinazotarajiwa kuchezwa Ivory Coasta ambapo amesema sababu kubwa ni makosa ya kinidhamu.
Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Suleiman Morocco ametaja jumla ya Wachezaji 31 huku mchujo mwingine ukipangwa kufanyika baada ya mechi za kirafiki Cairo nchini Misri ambapo watapunguzwa wachezaji 4 ili wabaki 27 Kwa ajili ya Fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zinazotarajiwa kuchezwa Ivory Coast.
.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot
