Goli moja kutoka kwa Jabrane Yahya limeipa ushindi wa bao 1-0 Wydad Casablanca ikiwa ugenini nchini Nigeria dhidi ya Enyimba FC, katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa michuano ya Afrrican Football League.

7 Comments

Leave A Reply