Leo tarehe 24/11/2022 Mpenja tv tumekuletea mahojiao maalum na familia ya mchezai Akram Afif anaecheza timu ya Taifa ya Qatar kwenye michunao ya kombe la Dunia.

Baada ya mchezo wa ufunguzi waliocheza wenyeji Qatar dhidi ya Ecuador mchezaji huyo ali trend kwenye mitandao ya kijamii ikisadikika ana asili ya kiTanzania.

Mpenja tv hatujataka kukaa kimya tumeitafuta familia yake na kuzungumza nao ili tufahau kiundani asili ya mchezaji huyo na ilikuwa anaitumikia timu ya Taifa ya Qatar

14 Comments

  1. Huwa nalaumu sana vyama vya Mpira Tanzania, Hawafanyi Scouting kutafuta watanzania ambao wako nje , Tanzania Ina vijana wana vipaji sana viko nje , Kila bara Watanzania wapo wanakipiga,…Nchi za kiarabu mpk Ulaya huko watanzania wapo…!..na sio Mpira wa miguu tu', mpk uchina wapo watanzania wanapiga sarakasi noma…!

    TFF na vyombo vingine fanyeni Scouting kusaka damu ya Tanzania iliyoko UGHAIBUNI…!..Wengine bado hawajachezea Timu za TAIFA lkn Wanafanya mazoezi katika viwanja na Timu za mitaani …!

  2. Tanzania wapo wachezaji wengi sana wa kila fani za maendeleo walio nchi za nje lkn roho mbaya sana ndio zinazo turejesha nyuma ktk maendeleo yetu

  3. Eeeh watz wengi wako nje ya nchi wanapiga ball sanaa especially huku uarabuni. Wachezaji wengi wa zamani walibaki uarabuni huku watoto wao wamepewa uraia. Tatzo chama chetu cha soka hawafwatilii na Hawaiti hawa wachezaji kutumiakia taifaa

Leave A Reply