Gift fred SC Villa player who plays as a central defender is one of the player who i said to have joined Yanga Sc.
Gift Fred ni Beki aliyemaliza mkataba na Sc Villa ya Uganda na huenda akajiunga moja ya timu za Tanzania .
yanga wamebet vizuri kwenye mchezaji huyo.
#yangabet #sportpesa
#GiftFred #Scvilla #yanga
#trending
#yanga
#usajili
#usajilimpya
#viral
#usajilileo
#tetesizausajili
#yangasc
#mayele
#Gamondi

21 Comments
Ahh hapa hamna beki
Hmm hili beki la wapiπππ
Huyu si maguire kabisaππ
Hamna mtu hapa butu butu
Amna Kazi hapaa
Daaaah wanazingua sana tumepigwa
Tulieni machoko nyie. Dogo yuko vizuri
Atapata namba Kweli tusubili maana job mwanyeto heee kaz ipo
Ninja is better than him
Sion chochote labd tusubil uwanjan make minilikua nimfungaj
ππππππnaona kajifunga
Hajanishawishi, bado tuna mbelambela tu msimu huu, nadhani mwisho wa utawala wetu ndio ushafika
Che Malone Vs Gift Fred β’ Bonyeza link ikupeleke Kuangalia hio Video moja kwa moja.
https://youtu.be/IJ99KnYpfjQ
Hapa tumepigwa
Beki mwenyewe ndio uyu aliejifungaπ’π’
Jaman bek gan huy tumepingwa
Jamaa ni mzuri Ila Timu yake ndio mbovu
Anajua yupo vizur
Ngozi nyeusi kazi kweli yan em cheki viwanja vya ligi kuu hvo
Mhmm mbna kuna mabek lig ya nyumban ni bora kuliko uyuu
Dah tumepigwa mzee